1.
(A)
Gear box ni nini? Eleza na utaje shafuti kuu tatu za gear box
(B) Taja kazi tano za manual gear box
na utaje kazi tatu za clutch katika transmistion system.
2.(A) Taja mapigo manne ya engine na ueleze
yanavyo tokea ikiwezekana tumia michoro kuyaonesha.
(B) Tumia mchoro ulio mzuri kuonesha sehemu zote za piston ikiwa
ndani ya cylinder.
(C) kiufundi andika sababu tano za engine
kuchemsha na uelezee kwanini maji katika engine huchemka.
3. (A) Elezea mfumo wa upozaji
unavyofanya kazi na utaje angalau component tano zinazo unda mfumo wa upoozaji bila
kuisahau thermostat.
(B) Taja aina mbili za kila kifaa
kifuatacho katika gari (i)
thermostat (ii) fan (II) radiator (iv) water pump.
(C) Taja mifumo minne inayounda mfumo wa
umeme kwenye gari na utoe mfano kwa kila mmoja.
4.(A) Eleza nini maana ya yafuatayo katika
mfumo wa brake.
(i) Brake muster cylinder (ii) Wheel cylinder (iii) Check valve (iv) Repair kit.
(B). Taja kazi mbili za brake booster na
kazi mbili za brake muster cylinder.
(C). Tofautisha ignition system na
starting system kwa kutumia michoro.
(D).
Kwakutaja aina mbili za suspension sys eleza suspension ni nini? Na taja main components
tatu zinazounda suspension system ( mfumo wa
mneso).
5. (A) Eleza nini
maana ya maneno yafuatayo.
(i)
Steering system (ii) Camber angle (iii) Caster angle. (iv) Ark man principle.
(B).(i)
Nini madhara ya cemba angle katika
magurudumu yanayofungwa mbele ya gari?.
(ii)
Eleza kwa kutumia michoro maana ya TOE
IN na TOE OUT.
6. (A).
Taja aina tano za sensor unazo zifahamu katika magari na uleleze kazi y LAMBDA
SENSOR.
(B) Taja aina mbili za gear box.
(C)
Taja aina tatu za manual gear box.
7. (i) Elezea maana
ya kila alama zifuatazo katika tairi za
mabasi ya safari ndefu P205/60R16H88?
(ii) Eleza faida mbili muhimu za kujaza
upepo sahihi katika matairi ya magari, hasa magari ya abiria.
8.
Eleza
kiufundi nini maana ya PISTON CLEARANCE na VALVE CLEARANCE katika magari ya
diesel?.
9. Taja faida mbili na hasara mbili za engine za mapigo mawili
ukilinganisha na engine za mapigo manne.
10.
eleza maana ya maneno yafuatayo katika mfumo wa mneso.
(i) Over steer. (ii) Under steer (III) Over
inflation (iv) Under inflation.
1.
Zipo anina mbili za mfumo wa
uchomaji katika engine za magari ya kisasa, kwa kutumia michoro rahisi taja
aina za mfumo wa uchomaji (ignition system) na uoneshe sehemu zake.
2. SI
ingine na CI engine ni aina za engine za mapigo manne na mapigo mawili, toa
tofauti iliyopo kati ya SI engine na CI engine ukifafanua kiufundi Zaidi maana
ya SI na CI.
3. Nini
maana ya alama zifuatazo katika matairi ya magari ya abiria P270/70R16H88
4. Wewe
kama fomen au supavaisa wa kampuni flani umepewa kitengo cha ufundi magari
katika kutangaza nafasi za kazi kwenye kanmpuni hilo, je utatumia hatua zipi
zakuwajulisha watu ili uweze kupata mafundi na nivigezo vipi utatumia
kuhakikisha unawasimamia mafundi hao baada ya kuajiliwa?
5. Eleza
nini maana ya maneno yafuatayo katika engine za magari ya kisasa.
a) Engine
tune-up
b) Injector
pump calibration
c) Engine
timing
d) Firing
order
6. Kwa
kutumia uzoefu wako wa kiufundi magari andika nichaji zipi zinazo kimbiana? Na
utaje aina tano za sensor unazozifahamu katika gari bila kuisahau LAMBDA
SENSOR.
7. Tumia
michoro iliyo rahisi kuonesha vifaa vifuatavyo katika mfumo wa umeme wa gari.
a) PNP
na NPN
b) S.I
Engine.
c) FUSE
d) BATTERY
V12
8. Nini
maana ya PREVENTIVE MAINTENANCE eleza.
9. Taja
aina tatu za preventive maintenance zinazo weza kufanyika katika workshop za
ufundi magari hapa Afrika.
10.
Safety gears ni aina ya vifaa
vinavyotumiwa na watu mbalimbali katika shughuli za kiufundi hapa duniani, Taja
aina tano za safety gears zinazo tumiwa na mafundi magari kwenye workshop za
magari.
1.
A Component which used to increase and decrease
a vehicle speed is called………………………………………………………..
2.
A component which prevent engine over heat and
over cool (or cold) is called ………………………………………………………………….
3.
Inlet Manifold and Exhaust Manifold are the
parts of? ……………………………………………………………………………………
4.
……………………………………………………………is a device which
prevent Ignition Coil to burn
5.
Which component in a vehicle prevent a driver
over accident …………………………………
6.
………………………………………………………………………………is a system which
help to drive a vehicle in the road for left and right direction.
7.
Inlet Valve and Exhaust Valve are the type
components of? ...............................................................
8.
Mention Five sensors that used in the vehicle (1)………………………(2)………………………(3)…………………………(4)………………………(5)………………………….
9.
A device that used to convert AC to DC electric
is called…………………………………………………………………..
10.
………………………………A device used to cool water in the
radiator and that control temperature to the radiator is ……………………..
11.
Mention three methods of heat transmition
(i)………………………………………
(2)………………………………… (3)…………………………..
12.
Write the meaning of DOT3 ………………………………………………………………………………………………………………………………..
13.
Write
down a device which used to supply fuel to the engine system ……………………………………………………….
14.
……………………………are
the devices used to relies information if any fault occur in vehicles system.
15.
A process
of all valve to open is called?
.....................................................
16.
A device used to filtrate exhaust smock is
called?.......................................................
17.
………………………………is a type of sensor used to detect
amount of oxygen burns in combustion chamber.
18.
Mention two types of spark plugs as like glow
plug. (i)……………………………………………………….(ii)…………………………………………………………….
19.
…………………………………..is an exhaust emission control
device used to change harmful compound from an engine emission into safe gases.
20.
What type of engine smock wanted to be provided
or given out relevant to the environment? …………………………………………..
21.
Define ENGINE .................................................................................................................................
22.
What is the device used to convert electric
energy into mechanical energy?
.......................................................................
23.
………………………………………………..is a type of sensor used to
calculate air density in the engine.
24.
The purpose of coolant material in water cooling
system is? ....................................................................
25.
What type of gear which used to drive axle shaft
in differential? ……………………………………………………………….
No comments:
Post a Comment