TERMINAL I EXAM JULY 2022 . CLASS MVM LEVEL II - EMAGK SITE

Latest

This website was designed to help college student especially those who takes engineering course for review, past paper and other learning material. And teacher for review.

Monday, October 17, 2022

TERMINAL I EXAM JULY 2022 . CLASS MVM LEVEL II


. Time 2:30Hrs

1

. This paper consists only Ten 10 questions

. Answer all Ten 10 questions

1. (a) Mention types of Piston rings and their functions

. (b)What does the following terms

. (i) piston bore

. (ii)cylinder bore

2 (a) What is cylinder-block warpage

. (b)Mention 8 tools used in overall the Engine.

. (c) What is valve clearance and how it is measured

3 What is does the following terms means

(a)OHV (b) IVO (c) Valve overlap (d) IVC (e) EVO (f) Valve lag (g) OHC (h) Valve lead

4. (a)What is compression ratio

. (b) Write down a formula for finding compression ratio

5.(a) Mention three types of brake systems

. (b)What does a term DOT means

6. Mention parts of Petrol Fuel system

. (b)What is a function of a choke valve in Petrol Fuel system which use carburetor

7.With aid of diagram mention any six parts of cooling system

8.Mention any six parts of lubrication system

9.Why mechanic perform bleeding in hydraulic brakes system

10(a).Mention three brake fluid commonly used

. (b)What is a meaning of ABS in brake systems

TERMINAL I EXAM JULY 2022

. CLASS MVM LEVEL II

. Time 2:30Hrs

2

. This paper consists only Ten 10 questions

.Answer all Ten 10 questions

3 Maneno yafuatayo umaanisha nini?

(a)OHV (b) IVO (c) Valve overlap (d) IVC (e) EVO (f) Valve lag (g) OHC (h) Valve lead

2 (a) Unaweza kugundua je kupinda kwa cylinder-head

. (b)Taja vifaa vinane 8 vinavyohitajika katika kufanya Engine Overall.

. (c) Nini maana ya valve clearance na inapimwaje

1. (a) Taja aina za Piston rings na kazi zake kila moja

. (b)Maneno yafuatayo yana maana gani?

. (i) cylinder bore

. (ii) piston bore

4. (a)Nini maana ya compression ratio

. (b) Andika kanuni inayotumika katika kukokotoa compression ratio

5.(a) Nini maana ya neon DOT

(b) Taja aina tatu za mifumo ya bleki (brake systems)

6.Taja vifaa vinavyounda mfumo wa mafuta wa Petrol.

. (b)Nini kazi ya choke valve kwenye mfumo wa Petrol Fuel unaotumia carburetor

7.Kwa kutumia mchoro taja vifaa sita 6 vinavyounda mfumo wa upoozaji (cooling system)

8.Kwa nini mafundi hufanya bleeding kwenye mifumo ya hydraulic brakes

9.Taja vifaa sita 6 vinavyounda mfumo wa ulainishaji (lubrication system)

10(a).Taja aina tatu 3 za mafuta (brake fluid) ambazo mara nyingi hutumika kwenye magari.

. (b)|Nini maana ya neno ABS katika mfumo wa brake

No comments:

Post a Comment